Namungo FC

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Namungo Football Club ni klabu ya mpira wa miguu ya Kitanzania yenye makao yake Lindi, Tanzania.Kwa sasa klabu inacheza Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya juu kabisa kwenye mfumo ya ligi wa Tanzania.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Namungo FC yapania kufanya makubwa Ligi Kuu (en). Mwananchi (2021-03-20). Iliwekwa mnamo 2023-05-14.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Namungo FC kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.