Namungo F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Namungo F.C. ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Tanzania iliyopo mkoani Lindi,na inayo shiriki ligi kuu Tanzania bara. Ina wachezaji mahiri kama vile Reliants Lusajo na Shiza Kichuya aliesajiliwa kutoka timu kongwe na kubwa ya Simba.

Klabu hii ya mpira wa miguu pia inajulikana kwa jina la utana la Wauwaji wa Kusini,inazaidi ya wanachama 2000 na pia kuongozwa na meneja anayejulikana kwa jina la Hemedi Suleiman.

Klabu hii imeshika nafasi ya tano kwenye ligi kuu Tanzania bara 2021-22

Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Majaliwa.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Namungo F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.