Nenda kwa yaliyomo

Timu ya Taifa ya Kandanda ya Jibuti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jibuti
Shirt badge/Association crest
Nickname(s)Riverains de la Mer Rouge (Shoremen of the Red Sea)
ShirikaFédération Djiboutienne
de Football
Kocha mkuuAhmed Abdelmonem
Home stadiumStade du Ville
msimbo ya FIFADJI
cheo ya FIFA189
Highest FIFA ranking169 (Desemba 1994)
Lowest FIFA ranking201 (Desemba 2004)
Elo ranking210
Home colours
Away colours
First international
Ethiopia Ethiopia 5 - 0 French Somaliland Ufaransa
(Ethiopia; 5 Desemba 1947)
Biggest win
Jibuti Jibuti 4 - 1 Yemen Kusini People's Democratic Republic of Yemen
(Djibouti, Djibouti; 26 Februari 1988)
Biggest defeat
Zambia Zambia 10 - 0 Jibuti Jibuti
(Zambia; 3 Septemba 2006)

Timu ya Taifa ya Kandanda ya Jibuti ambayo imepewa jina la utani la Riverains de la Mer Rouge (Shoremen of the Red Sea), ndiyo timu ya taifa la Jibuti. Iko chini ya Shirikisho la Kandanda la Jibuti, Fédération Djiboutienne de Football. Haikuingia katika mijuano ya akufuzu kwa Kombe la Dunia la 2006.

Hadi ushindi wake wa 1-0 dhidi ya Somalia, Jibuti haikuwahi kushinda mechi yoyote iliyoandaliwa na Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA).

Historia[hariri | hariri chanzo]

Kandanda ilianzishwa nchini Jibuti kabla ya Uhuru kutoka Ukoloni, huku ikichezwa san asana na Majeshi wa Kifaransa. Huku eneo hilo enzi hizo likiitwa French Somaliland, walikuwa wakishiriki katika mijuano ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA kutoka 1930 hadi 1974. Hata hivyo hawakuwahi kufuzu kwa kombe hilo hata mara moja. Baada ya Uhuru mnamo 1977, Jibuti ilishirikishwa katika Kombe la Mataifa Bingwa Barani Afrika lakini matokeo yake yalikuwa duni.

Jibuti haijawahi kucheza katika Kombe la Mataifa Bingwa Barani Afrika, huku timu hiyo ikijitoa katika mashindano hayo mara mbili, mnamo 2004 na 2008..

Ilionekana katika michuano ya CECAFA mara ya kwanza nchini Kenya mnamo 1994 lakini ikashindwa kuzoa alama baada ya kupoteza mechi zote dhidi ya Kenya, Somalia na Tanzania katika mkondo wa kwanza. Katika mechi zote nane, timu hiyo iliweza kupata alama mbili baada ya kutoka sare mara mbili.

Rekodi ya Kombe la Dunia[hariri | hariri chanzo]

  • 1930- Ilifika mechi ya Kufuzu

Rekodi ya Kombe la Mataifa Bingwa Barani Afrika[hariri | hariri chanzo]

Kombe la CECAFA[hariri | hariri chanzo]

Kombe la CECAFA
Mwaka Mkondo Idadi ya Mechi Ilishinda Sare Ilishindwa MAbao iliyofunga Mabao iliyofungwa
1973| to 1992 Haikuingia - - - - - -
1994 Mkondo wa Kwanza 3 0 0 3 2 9
1999 Mkondo wa Kwanza 2 0 0 2 2 6
2000 Mkondo wa Kwanza 4 0 1 3 2 15
2001 Mkondo wa Kwanza 3 0 0 3 3 17
2005 Mkondo wa Kwanza 4 0 0 4 2 18
2006 Mkondo wa Kwanza 3 0 0 3 0 10
2007 Mkondo wa Kwanza 3 0 0 3 2 19
2008 Mkondo wa Kwanza 4 0 1 3 2 13
2009 Mkondo wa Kwanza 3 0 0 3 0 13
Jumla - 29 0 2 27 15 120

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]