Nenda kwa yaliyomo

Ligi Kuu ya Jibuti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
NchiJibuti
ConfederationCAF
Ilianzishwa1987
Idadi ya timu10
Levels on pyramid1
Makombe ya nyumbaniKombe la Jibuti
Makombe ya KitaifaLigi ya Ubingwa
Confederation Cup
Current championsAS Ali Sabieh Djibouti Telecom (2009)
Ubingwa wa Juu zaidiForce Nationale de Police (7)

Ligi Kuu ya Jibuti ndiyo divisheni ya juu zaidi katika Shirikisho la Kandanda nchini Jibuti.

Mabingwa[hariri | hariri chanzo]

Hakukuwa na Ubingwa kati ya 1989 na 1990

Hakukuwa na Ubingwa kati ya 1992 na 1993

Matokeo bora ya kila Klabu[hariri | hariri chanzo]

Klabu Jiji Mataji Taji la Hivi Maajuzi
Force Nationale de Police [inashirikisha Force Nationale Securité] Djibouti (Mji) 7 2001
AS Compagnie Djibouti-Ethiopie Djibouti (Mji) 4 2007
Gendarmerie Nationale Djibouti (Mji) 2 2004
Société Immobiliére de Djibouti Kartileh 2 2008
AS Boreh Djibouti (Mji) 1 2002
Aéroport Djibouti (Mji) 1 1991
AS Etablissements Merill Djibouti (Mji) 1 1987
AS Ali Sabieh Djibouti Telecom 1 2009

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]