Nenda kwa yaliyomo

Zanzibar Premier League

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ligi Kuu ya Zanzibar kwa kiingereza (Zanzibar Premier League), kwa jina lingine PBZ Premier League, ni mashindano ya daraja la juu kabisa ya mchezo wa mpira wa miguu chini ya Shirikisho la mpira wa miguu la Zanzibar. Ilianzishwa mwaka 1926 na kurasimishwa mwaka 1981. Anayeshikilia rekodi ya mfungaji mwenye magoli mengi mpaka sasa ni Craig macfarlane, alifunga jumla ya magoli 63 kwenye msimu wa 2001-02.

Washindi

[hariri | hariri chanzo]

Chanzo:[1]

Utendaji wa Timu

[hariri | hariri chanzo]
Klabu Mataji Taji la mwisho
KMKM92022–23
Mlandege FC72019–20
Small Simba51994–95
Malindi31991–92
Mafunzo2014–15
Miembeni2007–08
JKU2023–24
Shangani F.C.21993–94
Polisi2005–06
Ujamaa1981–82
Kipanga11999–2000
Jamhuri2002–03
Zanzibar Ocean View2009–10
Super Falcon2011–12
Zimamoto2015–16

Chanzo:[1]

Wafungaji Bora

[hariri | hariri chanzo]
Msimu Mfungaji Bora Klabu Magoli
2005 Zanzibar Joseph MalikTembo8
2008 Bakari MohammedMundu
2009 Mfanyeje MusaMundu14
2020–21 Zanzibar Maabad MaulidKVZ17
2021–22 Zanzibar Maabad MaulidKVZ21
2022–23 Tanzania Yassin MgazaKMKM17
2023–24 Zanzibar Suleiman Mwalim Abdallah KVZ20
  1. 1 2 "Zanzibar Champions". www.rsssf.org. Iliwekwa mnamo 2024-03-05.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Zanzibar Premier League kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.