Mlandege FC

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlandege FC ni timu kutoka chama cha soka cha Unguja inayoshiriki Ligi Kuu ya Zanzibari[1].

Klabu hiyo ilianzishwa mnamo 1970.

Ikiwa na mataji saba ya ligi, ndiyo klabu yenye mafanikio zaidi katika historia ya ligi pamoja na KMKM FC.

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

1996, 1997, 1998, 1998, 2001, 2002, 2020.
•Mapinduzi Cup: 1
2023

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Soccerway profile". Soccerway. Iliwekwa mnamo 28 September 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mlandege FC kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.