Timu
Mandhari
Timu (kutoka Kiingereza "team") ni kundi la watu wanaofanya kazi ili kufikia lengo la pamoja.
Wanachama wa timu wanahitaji kujifunza jinsi ya kusaidiana, kusaidia wanachama wengine wa timu, kutambua uwezo wao kwa kila mmoja, na kujenga mazingira ambayo yanaruhusu kila mtu awe anajua umuhimu wake, hata kama timu ndogo za sekondari ni za muda mfupi.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Devine, D. J. (2002). A review and integration of classification systems relevant to teams in organizations. Group Dynamics: Theory, Research, and Practice, 6, 291–310.
- Forsyth, D. R. (2006). Teams. In Forsyth, D. R., Group Dynamics (5th Ed.) (P. 351-377). Belmont: CA, Wadsworth, Cengage Learning.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Timu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |