Timu ya Taifa ya Kandanda ya Kenya
Nickname(s) | Harambee Stars | ||
---|---|---|---|
Shirika | Kenya Football Federation | ||
Shirikisho | CAF (Africa) | ||
Kocha mkuu | Twahir Muhiddin | ||
Home stadium | Moi International Sports Centre | ||
msimbo ya FIFA | KEN | ||
cheo ya FIFA | 105 | ||
Highest FIFA ranking | 68 (Desemba 2008) | ||
Lowest FIFA ranking | 137 (Julai 2007) | ||
Elo ranking | 108 | ||
| |||
First international | |||
![]() ![]() (Nairobi, Kenya; 1 Mei 1926) | |||
Biggest win | |||
![]() ![]() (Nairobi, Kenya; ?, 1961) | |||
Biggest defeat | |||
![]() ![]() (Nairobi, Kenya; 12 Desemba 1965)[1] | |||
Kombe la Mataifa ya Afrika | |||
Appearances | 5 (First in 1972) | ||
Best result | Round 1, all |
Timu ya taifa ya soka ya Kenya, iitwayo Harambee Stars , ni timu ya taifa ya Kenya na imedhibitiwa na Shirikisho la Soka la Kenya. Haijawahi kuhitimu kucheza katika Kombe la Dunia.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Kenya imetokea katika mashindano matano ya Kombe la Mataifa ya Africa, na haijawahi kamwe kufika raundi ya pili. Timu iliingia katika majaribio ya kufuzu katika kombe la dunia la FIFA mwaka 1974. Kufikia mwaka 2006, bado hawajahitimu michuano ya fainali.
Ahirisho la FIFA mwaka 2004
[hariri | hariri chanzo]FIFA iliahirisha Kenya kutoka shughuli zote za soka kwa miezi mitatu mwaka 2004, kutokana na kuingiliwa na serikali katika shughuli za soka. Marufuku mara yaliachwa baada ya nchi kuukubali kuunda sheria mpya.[2]
Kupigwa marufuku ya kitaifa na FIFA mwaka 2006
[hariri | hariri chanzo]25 Oktoba 2006, Kenya iliahirishwa tena kutoka soka ya kimataifa kwa kushindwa kutimiza mkataba wa Januari 2006 uliobuniwa kutatua matatizo yasioisha katika Shirikisho lao la Soka yao. FIFA ilitangaza kuwa ahirisho hilo lingetimizwa hadi shirikisho lirejee kwenye mikataba ya iliyofikiwa awali.[2][3]
Wachezaji maarufu
[hariri | hariri chanzo]Mafanikio ya soka Kenya
[hariri | hariri chanzo]- Kombe la CECAFA:
-
- Bingwa mara 5 (1975, 1981, 1982, 1983, 2002)
- Kumaliza nafasi ya pili mara 4
-
Rekodi ya Kombe la Mataifa ya Afrika
[hariri | hariri chanzo]{ || valign = "top"
|* 1957 - Hawakuingia
- 1959 - Hawakuingia
- 1962 - Hawakuhitimu
- 1963 - Walijitoa
- 1965-1970 - Hawakuhitimu
- 1972 - Zamu ya 1
- 1974-1982 - Hawakuhitimu
- 1984 - Hawakuingia
- 1986 - Hawakuhitimu
| width="50"| | valign = "top"
|* 1988 - Zamu ya 1
- 1990 - Zamu ya 1
- 1992 - Round 1
- 1994 - Hawakuhitimu
- 1996 - aWalijitoa
- 1998-2002 - Hawakuhitimu
- 2004 - Zamu ya 1
- 2006-2010 - Hawakuhitimu
|}
Mameneja
[hariri | hariri chanzo]Ray Bachelor 1961
Jack Gibbons 1966
Elijah Lidonde 1967
Eckhard Krautzun 1971
Jonathan Niva 1972
Ray Wood 1975
Grzegorz Polakow 1979
Stephen Yongo 1979
Marshall Mulwa 1980-83
Bernhard Zgoll 1984
Reinhard Fabisch 1987
Christopher Makokha 1988
Mohammed Kheri 1988-90
Gerry Saurer 1992
Mohammed Kheri 1995
Vojo Gardasevic 1996
Reinhard Fabisch 1997
Abdul Majid 1998
Christian Chukwu 1998
James Siang'a 1999-00
Reinhard Fabisch 2001-02
Joe Kadenge 2002
Jacob "Ghost" Mulee 2003-04
Twahir Muhiddin 2004-05
Mohammed Kheri 2005
Bernard Lama 2006
Tom Olaba 2006
Jacob "Ghost" Mulee 2007-08
Francis Kimanzi 2008-2009
Antoine Hey 2009
Twahir Muhiddin 2009
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kenya International Matches". Kenya International Matches. RSSSF. 1 Februari 2000. Iliwekwa mnamo 2007-04-10.
- ↑ 2.0 2.1 [1] ^ FIFA yaahirisha Kenya - news.bbc.co.uk - BBC michezo, BBC, 25 Oktoba 2006.
- ↑ [3] ^ FIFA yaahirisha Kenya kwa muda usiojulikana - allAfrica.com - The East African Standard (Nairobi), 25 Oktoba 2006.