Joe Masiga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph (Joe) Masiga (anajulikana kama JJ Masiga) ni mwanakandanda wa zamani wa kimataifa wa Kenya na pia mchezaji wa raga.

Masiga alicheza kandanda ya klabu katika timu ya AFC Leopards, timu yenye mizizi katika magharibi ya Kenya.[1] Masiga alistaafu kutoka michezo hodari na sasa ni daktari wa meno katika mji mkuu wa Nairobi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Efforts to save Leopards intensify", The Standard, 8 Agosti 2009. Retrieved on 27 Novemba 2009. [dead link]
Makala hii kuhusu Mchezaji Soka wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joe Masiga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.