Antoine Hey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Antoine Hey
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
–1989Grasshopper Zürich
1989–1992Fortuna Düsseldorf49(5)
1992–1994Schalke19(0)
1993–1994Tennis Borussia Berlin (loan)27(7)
1994–1997Fortuna Köln94(16)
1997–1999Birmingham City9(0)
1999–2000Fortuna Düsseldorf34(3)
2000–2001VfL Osnabrück33(0)
2001–2003Anorthosis Famagusta20(6)
2003Bristol City0(0)
2003–2004VfR Neumünster22(1)
Teams managed
2003–2004VfR Neumünster
2004–2006Lesotho
2006–2007Gambia
2007US Monastir
2008–2009Liberia
2009Kenya
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.
† Appearances (Goals).

Antoine Hey (alizaliwa tarehe 19 Septemba 1970) [1] ni mchezaji mstaafu wa kandanda wa Ujerumani aliyecheza katika Bundesliga.

Baadaye alikuwa kocha wa timu ya taifa ya Kenya, kazi aliyoshikilia kutoka Februari hadi Novemba 2009.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Wasifu katika kilabu[hariri | hariri chanzo]

Hey alichezea hasa timu za Fortuna Düsseldorf na Schalke nchini Ujerumani. Vilevile, alichezea timu za Tennis Borussia Berlin, Fortuna Köln, VfL Osnabrück, Anorthosis Famagusta na VfR Neumünster.|[2] nchini Ujerumani[3].Vilevile, alichezea timu za Tennis Borussia Berlin, Fortuna Köln, VfL Osnabrück, Anorthosis Famagusta na VfR Neumünster.[1]

Wasifu wa Usimamizi[hariri | hariri chanzo]

Hey alianza kazi yake ya usimamizi nchini Ujerumani na kilabu cha VfR Neumünster kabla ya kuhamia Afrika kusimamia Lesotho. [[3]] Alikuwa pia meneja wa Gambia kuanzia Septemba 2006 [3] hadi Machi 2007.[4] Akiwa meneja wa Gambia,kulikuwepo malumbano kuhusiana na fedha.[5][6]

Aliteuliwa meneja wa Liberia mnamo Februari 2008.[7] Mnamo Februari 2009 , aliteuliwa kocha wa timu ya taifa ya Kenya.[8][9]

Baada ya migogoro na shirikisho la mpira la Kenya kuhusiana na uteuzi wa timu ,[10] Hey aliiwacha timu ya taifa ya Kenya kabla ya pambano la kufuzu katika Kombe la Dunia dhidi ya Nigeria.[11][12]

Maisha ya binafsi[hariri | hariri chanzo]

Babake Jonny Hey, kutoka 1972 hadi 1980 ,alikuwa mchezaji soka maarufu (MSV Duisburg, Arminia Bielefeld, Grasshoppers Zürich na Fortuna Köln). Alicheza mechi 32 za Bundesliga na mechi 127 kwenyea ligi ya pili [13]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. 1.0 1.1 Player profile. Fußballdaten. Iliwekwa mnamo 2008-02-27.
 2. ^ Antoine Hey: Ich war ein besserer Torwart als Buyo!
 3. 3.0 3.1 3.2 Lamine Cham. "Gambia appoint German coach", BBC, 26 Septemba 2006. Retrieved on 2008-02-27. 
 4. "Gambia to replace German coach", BBC, 15 Machi 2007. Retrieved on 2008-02-27. 
 5. "Confusion over Gambia coach", BBC, 21 Novemba 2006. Retrieved on 2008-02-27. 
 6. "Hey to continue as Gambia coach", BBC, 23 Novemba 2006. Retrieved on 2008-02-27. 
 7. Ledgerhood Rennie. "New man at the helm for Lone Star", BBC, 27 Februari 2008. Retrieved on 2008-02-27. 
 8. Hey takes over as Kenya coach. BBC (2009-02-19). Iliwekwa mnamo 2009-02-19.
 9. Sammy Kitula. "Antoine Hey new Harambee Stars coach", Daily Nation, 18 Februari 2009. Retrieved on 2008-02-27. 
 10. Charles Nyende. "Enough is enough! FKL orders Oliech's recall", Daily Nation, 4 Novemba 2009. Retrieved on 2009-11-20. 
 11. "Kenya turmoil ahead of Nigeria match", BBC Sport, 11 Novemba 2009. Retrieved on 2009-11-20. 
 12. Sammy Kitula. "Coach Hey off to Germany", Daily Nation, 16 Novemba 2009. Retrieved on 2009-11-20. 
 13. ^ Toni Hey: mit 37 zum dritten Mal Nationaltrainer
Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antoine Hey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.