Taifa Stars

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Taifa Stars ni timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania.

Rekodi za Taifa Stars[hariri | hariri chanzo]

Mshindi wa mashindano ya CECAFA mwaka 1974, 1994 na 2010.

Vikosi mbalimbali vya Taifa Stars[hariri | hariri chanzo]

Kwa mara ya kwanza kikosi cha taifa kiliundwa mwaka (saidia kuweka mwaka husika). Kuanzia hapo kumekuwepo na vikosi mbalimbali hadi hivi sasa. Kila mwaka kumekuwa na vikosi tofautitofauti kadiri ya mitazamo na mipango ya makocha waliowahi kuzinoa vikosi hivyo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taifa Stars kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.