Nenda kwa yaliyomo

Mudathir Yahya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mudathir Yahya Abbas (alizaliwa 6 Mei 1996) ni mchezaji wa kimataifa wa mpira wa miguu anayecheza nafasi ya kiungo kwenye klabu ya Young Africans S.C. inayoshiriki NBC Premier League na Timu ya Taifa ya Tanzania.

Mudathir ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania na Timu ya Taifa ya Zanzibar.[1] Aliiwakilisha Zanzibar kwenye mashindano ya CECAFA ya mwaka 2017,[2] ambapo Zanzibar walimaliza nafasi ya pili.[3]

  1. Mudathir Yahya at National-Football-Teams.com
  2. Olobulu, Timothy (15 Desemba 2017). "Zanzibar shock Uganda, sets Kenya date in CECAFA final". Capitalfm Sports. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Hosts Kenya beat Zanzibar on penalites to win Cecafa Cup". BBC Sport. 17 Desemba 2017. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mudathir Yahya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.