Mtibwa Sugar F.C.
Jina la utani | Wana tam tam | |
---|---|---|
Uwanja | Uwanja wa Manungu (Uwezo: 5000) | |
Ligi | NBC Premier League | |
|
Mtibwa Sugar Football Club ni klabu ya mpira wa miguu ya Tanzania iliyoko Turiani katika mkoa wa Morogoro inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mechi zao za nyumbani zinachezwa kwenye uwanja wa Manungu.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Mtibwa Sugar Sports Club ilianzishwa mwaka 1988 na kundi la wafanyakazi wa Mtibwa Sugar Estates Ltd. ambayo iliamua kuunda timu ya mpira wa miguu ambayo ilianza kushiriki katika mashindano ya ligi katika ngazi ya wilaya.
Timu hiyo ilianza kucheza katika ligi daraja la nne mwaka 1989 na ilipandishwa hadi katika ligi daraja la kwanza mwaka 1996. Hatimaye mwaka 1998, ligi hiyo ilirekebishwa na kuwa Ligi Kuu.
Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]- 1999, 2000.
- 2018.
Matokeo katika ligi ya CAF
[hariri | hariri chanzo]- CAF Confederation Cup: 1 ushiriki
- 2004 – Hatua ya kwanza
- CAF Cup: 3 ushiriki
Kikosi cha sasa
[hariri | hariri chanzo]Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.
|
|
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mtibwa Sugar F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |