Mechi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mechi ya lacrosse.

Mechi (kutoka Kiingereza: match) ni mashindano ya watu au timu mbili katika michezo, k.mf. mpira wa miguu, mpira wa kikapu n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mechi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.