Vicent Barnabas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vicent Barnabas
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 17 Januari 1985
Mahala pa kuzaliwa    Mbeya, Tanzania
Urefu 1.70 m
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Vicent Barnabas, (alizaliwa mnamo 17 Januari, 1985), ni mchezaji wa soka wa zamani wa nchini Tanzania, aliyekuwa akicheza kama mshambuliaji.[1]

Aliwahi kuchezea vilabu mbalimbali nchini Tanzania kama vile Kagera Sugar F.C. (2005 - 2007), Young Africans S.C (2008 - 2009), African Lyon F.C. (2009 - 2010) na Mtibwa Sugar F.C. (2011 - 2018).[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] at National-Football-Teams.com
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "Vicent Barnabas (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-10. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vicent Barnabas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.