Kagera Sugar F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kagera Sugar F.C. ni timu ya mpira wa miguu ya Bukoba, Tanzania inayoshiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

Uwanja wa mpira wa nyumbani unaitwa Kaitaba Stadium na una nafasi kwa watazamaji 5,000.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Kagera Sugar F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.