Uwanja wa michezo wa Kaitaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Kaitaba ni uwanja wa michezo uliopo katika mji wa Bukoba, nchini Tanzania. Ukitumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Kagera Sugar , timu inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara, uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 5,000.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kaitaba kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.