Mshambuliaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Winga Nani akijaribu kufunga goli kwa kumkwepa beki Philipp Lahm (kulia).

Mshambuliaji (kutoka kitenzi “kushambulia”) ni mchezaji wa nafasi ya mbele anajetakiwa kufunga goli katika michezo mbalimbali kama vile: mpira wa miguu, ragbi, hoki ya ugani.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mshambuliaji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.