Luis Suárez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Luis Suarez akiwa Liverpool.

Luis Alberto Suárez (alizaliwa Januari 24, 1987) ni mchezaji wa soka wa Uruguay ambaye anacheza nafasi ya mshambuliaji katika timu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Uruguay.

Luis Suarez mara nyingi huonekana kama mchezaji bora zaidi duniani, pia hujulikana kwa jina la Professional Goalscorer, Suárez ameshinda vikombe 16 katika kazi yake, ikiwa ni pamoja na mataji matano ya ligi, cheo cha UEFA Champions League (UCL) na Copa América. Suarez pia amepata viatu viwili vya dhahabu,na kiatu kimoja cha dhahabu cha Eredivisie.

Suarez alichezea Ajax na kisha akaenda Liverpool, Barcelona na sasa hivi yupo Atletico Madrid .

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luis Suárez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.