Francesco Totti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Francesco Totti
Totti 2007.jpg
Maelezo binafsi
Jina kamili Francesco Totti
Tarehe ya kuzaliwa 27 Septemba 1976
Mahala pa kuzaliwa    Roma, Uitalia
Urefu 1.80m
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Roma
Namba 10
Klabu za ukubwani
Miaka Klabu
1992- Roma

* Magoli alioshinda

Francesco Totti (amezaliwa 27 Septemba 1976 katika mji wa Roma) ni mchezaji wa kandanda wa Italia. Yeye hucheza kama mshambuliaji katika klabu ya Roma katika ligi ya Serie A ya Uitalia.