Pep Guardiola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pep Guardiola akiwa na Manchester City mnamo 2017

Josep "Pep" Guardiola Sala, (amezaliwa 18 January 1971 [1]) ni meneja wa soka la kulipwa,Raia wa Uhispania na mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani, ambaye ni meneja wa klabu ya Manchester City tangu 2016. Anachukuliwa kuwa mmoja wa wasimamizi muhimu katika historia ya soka. [2] Na anashikilia rekodi za mechi nyingi mfululizo za ligi alizoshinda kwenye La Liga akiwa na klabu ya Barcelona F.C.[3]

Guardiola alikuwa kiungo mkabaji. Alitumia muda mwingi wa maisha yake akiwa na Barcelona,Pia alikuwa sehemu ya timu ya Johan Cruyff iliyoshinda kombe la kwanza la klabu bingwa Ulaya mwaka 1992 [4]. na kushinda makombe manne mfululizo katika ligi kuu ya Uhispania (1991-1994).Alikuwa nahodha wa timu kutoka mwaka 1997 hadi 2001 alipoondoka katika klabu hiyo.Guardiola aliwahi kucheza Brescia na Roma nchini Italia, Al-Ahli ya Qatar, na Dorados de Sinaloa ya Mexico.Alicheza mara 47 akiwa kama nahodha wa timu ya taifa ya Uhispania , na alicheza  kwenye Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 1994, na vile vile kwenye UEFA Euro ya mwaka 2000.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Pep Guardiola". fcbayern.de. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 May 2014. Iliwekwa mnamo 16 May 2014.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Mark, Lomas (5 August 2013). "Greatest Managers, No. 18: Pep Guardiola". ESPNFC. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 January 2018. Iliwekwa mnamo 29 December 2014.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Man City fail to match Bayern for longest winning run in Europe's top 5 leagues". ESPN. 31 December 2017. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 January 2018. Iliwekwa mnamo 4 January 2018.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. "Josep Guardiola – The Boy from Santpedor". spain-football.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 January 2013. Iliwekwa mnamo 16 January 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pep Guardiola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.