Winga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Winga maarufu Garrincha akimpasia Vavá katika fainali ya Kombe la Dunia la FIFA mwaka 1958.

Winga (kutoka Kiingereza winger) ni nafasi ya mchezaji katika mpira wa miguu, hockey, mpira wa mikono, rugby n.k. Nafasi hiyo iko upande wa mbele, ama kulia ama kushoto.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Winga kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.