African Lyon F.C.
Kuanzishwa | 2000 |
---|---|
Mchezo | mpira wa miguu |
Nchi | Tanzania |
Ligi | Ligi Kuu Tanzania Bara |
Eneo la makao makuu | Dar es Salaam |
Tovuti | http://www.africanlyonfc.com |
Jamii ya washiriki | Category:African Lyon F.C. players |
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
African Lyon F.C. ni klabu ya mpira wa miguu jijini Dar es Salaam nchini Tanzania. Hivi sasa katika Ligi Kuu ya Tanzania, baada ya kushinda Kundi la Ligi ya Daraja la Kwanza msimu wa 2015/2016.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Ilianzishwa 14 Juni 2000,[1] African Lyon FC ni moja ya vilabu vya juu vya Soka nchini Tanzania vinavyotokea katika jiji la Dar es salaam. African Lyon inacheza katika Ligi Kuu ya Tanzania. Klabu hiyo inamilikiwa na Rahim Kangezi.
Mnamo mwaka wa 2017 klabu hiyo kwa sehemu ndogo ilinunuliwa na kikundi cha wanahabari cha michezo cha Mashariki ya Kati DANTANI Inc kinachoongozwa na Omar Al Raisi.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu African Lyon F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "African Lyon FC" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-01. Iliwekwa mnamo 2022-12-01.