Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Manungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Manungu ni uwanja wa matumizi mengi uliopo katika mji wa Turiani, nchini Tanzania.Uwanja huu hutumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu, ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 5000.Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Mtibwa Sugar FC.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Manungu kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.