Farid Mussa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Farid Mussa alizaliwa january,25 (1996), ( Morogoro) ni mchezaji wa mpira wa miguu katika timu ya Tanzania. Alianza katika klabu ya Azam akichukuliwa katika mazoezi ya kuchukua vipaji katika mwaka 2013. Baada ya hapo alikwenda katika mechi ya Azam na CF Union Viera ambayo Farid Mussa alikuwa mchezaji aliyefanya vizuri katika mechi hiyo na alizawadiwa fedha na kuchukuliwa kwenda kucheza Hispania katika timu Tenerife ambayo alikwenda kwa mkopo na amemaliza mkataba wake mwaka 2020 na amerudi katika timu kongwe inayojulikana kama Young Africans ya nchini Tanzania.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Farid Mussa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.