Young Africans S.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Young Africans)
Logoya Young African S.C.
Young Africans S.C.
Jina la utaniYanga (Swahili)
Imeanzishwa11Feb 1935
UwanjaBenjamin Mkapa National Stadium
(Uwezo: 62,000)
MwenyekitiMshindo Msola
MenejaSenzo Mazingiza
KochaNasreddine Nabi
LigiTanzania Premier League, Vodacom Premier League
Tovutitovuti ya klabu

Young Africans S.C. (maarufu kama Yanga, jina kamili ni Young Africans Sports Club) ni timu ya soka ya nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Jina la utani Timu ya Wananchi au Wanajangwani.

Imepata kuwa mabingwa mara 29 nchini na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.[1]

Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, takribani mara tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu.[2]

Wachezaji[hariri | hariri chanzo]

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
1 Mali GK Djigui Diarra
28 Tanzania GK Abdutwalib Mshery
24 Tanzania GK Erick Johola
3 Tanzania DF Bakari Nondo Mwamnyeto
5 Tanzania DF Dickson Job
13 Tanzania DF David Bryson
21 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DF Djuma Shabani
23 Tanzania DF Abdullah Shaibu Ninja
4 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DF Yanick Bangala Litombo
15 Tanzania DF Kibwana Shomari
18 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MF Abubakar Salum
20 Tanzania MF Zawadi Mauya
10 Burkina Faso MF Stephane Aziz Ki
33 Tanzania MF Dickson Ambundo
27 Tanzania MF Mudathir Yahaya
8 Burundi FW Khalid Aucho
12 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo FW Jesus Ducapel Moloko
6 Tanzania MF Feisal Salum
17 Tanzania MF Farid Mussa
25 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MF Chiko Ushindi
9 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo FW Fiston Mayele
16 Tanzania FW Denis Nkane
30 Tanzania DF Chrispin Ngushi

Wachezaji wa kigeni[hariri | hariri chanzo]

Ligi Kuu ya Tanzania inaruhusu wachezaji wa nje kumi. Yanga kwa sasa wanatumia wachezaji wa kigeni wafuatao:


Heshima[hariri | hariri chanzo]

Ndani ya Nchi[hariri | hariri chanzo]

Ofisi kuu za Young Africans zilizoko barabara ya Twiga, Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania Mashariki
  • Ligi Kuu Tanzania[3]
  • Kombe la FA Tanzania[4]
    • Mabingwa (3): 1975, 1994, 1999
    • Makombe (1): 2001
  • Kombe la FAT[5]
    • Mabingwa (3): 2015–16, 2021/22, 2022/23
    • Makombe (2): 1996, 2021
  • Kombe la Tusker[4]
    • Mabingwa (7):1986,1992,1987,2000,2005,2007, 2009
    • Makombe (3): 2001, 2002, 2005.
  • Kombe la Mapinduzi[4]
    • Mabingwa (3): 2003,2004, 2021
    • Makombe (1): 2011
  • Ngao ya Jamii[4]
    • Mabingwa (7): 2001, 2010, 2013, 2014, 2015, 2021,2022
    • Makombe (7): 2002, 2005,2013,2009, 2011, 2016, 2017

Bara[hariri | hariri chanzo]

Kombe la CECAFA[6]

  • Mabingwa (5): 1975, 1993, 1999, 2011, 2012
  • Makombe (3): 1976, 1986, 1990

Kombe la Shirikisho la CAF

  • Makombe (1): 2023

Ufundi katika Mashindano ya CAF[hariri | hariri chanzo]

1997 – Raundi ya Awali
1998 – Hatua ya Makundi (Nane Bora)
2001 – Raundi ya Pili
2006 – Raundi ya Awali
2007 – Raundi ya Pili
2009 – Raundi ya Kwanza
2010 – Raundi ya Awali
2012 – Raundi ya Awali
2014 – Raundi ya Kwanza
2016 – Raundi ya Pili
2017 – Raundi ya Kwanza
2022 – Raundi ya Kwanza
2023 – Robo fainali
1969 – Robo-fainali
1970 – Robo-fainali
1971 – Kujitoa katika Raundi ya Pili
1972 – Raundi ya Kwanza
1973 – Raundi ya Kwanza
1975 – Raundi ya Pili
1982 – Raundi ya Pili
1984 – Raundi ya Kwanza
1988 – Raundi ya Kwanza
1992 – Raundi ya Kwanza
1996 – Raundi ya Awali
  • Kombe la Shirikisho la CAF: Onyesho 6
2007 – Raundi ya Kati
2008 – Raundi ya Kwanza
2011 – Raundi ya Awali
2016 – Hatua ya Makundi (Nane Bora)
2018 – Hatua ya Makundi (16 Bora)
2022–23 – Mshindi wa Pili
1994 – Raundi ya Kwanza
1999 – Raundi ya Kwanza
  • Kombe la Washindi wa Mataji la CAF: Onyesho 2
1995 – Robo-fainali
2000 – Raundi ya Kwanza

Nembo[hariri | hariri chanzo]

Nembo ya zamani

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Young Africans live score, schedule and results - Football - SofaScore". www.sofascore.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02. 
  2. "Young Africans News | Goal.com". www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02. 
  3. "Tanzania – List of Champions". RSSSF. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-01-16. Iliwekwa mnamo 2020-12-31.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  4. 4.0 4.1 4.2 4.3 "Tanzania – List of Cup Winners". RSSSF. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-31.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  5. "Tanzania – List of Cup Winners". RSSSF. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-31.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  6. "CECAFA Club Championship". RSSSF. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-31.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  7. "CAF - News Center - News - NewsDetails". www.cafonline.com. Iliwekwa mnamo 2020-10-02. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]