Djigui Diarra
Mandhari
Djigui Diarra, (alizaliwa 27 Februari 1995) ni mchezaji wa kitaalamu wa mpira wa miguu wa Mali anayecheza nafasi ya mlinda mlango katika klabu ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya Young Africans na timu ya taifa ya Mali.[1] Pia aliwakilisha nchi yake katika Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 20 ya 2015, ambapo walifikia nafasi ya tatu.[2]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Diarra alijiunga na klabu ya Kitanzania ya Young Africans S.C. mwezi Agosti mwaka 2021.[3]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mali - D. Diarra - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 7 Mei 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Karibu katika Habari za FIFA.com - Diarra: Bahati ya Mali imegeuka". FIFA. Iliwekwa mnamo 12 Februari 2020.
- ↑ "Djigui Diarra : Mlinda mlango wa Kimali ajiunga na klabu ya Kitanzania ya Young Africans", Africa Top Sports, 8 Agosti 2021.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Djigui Diarra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |