Nenda kwa yaliyomo

Fiston Mayele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fiston Kalala Mayele, (alizaliwa 24 Juni, 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambaye anacheza nafasi ya mshambuliaji kiongozi katika klabu ya Ligi Kuu ya Misri ya Pyramids FC na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Kongo[1]

Fiston Kalala Mayele alikuwa anacheza hivi karibuni katika klabu ya TP Mazembe katika ligi ya Linafoot ya Kongo na Timu ya Taifa ya Soka ya Kongo. Fiston Kalala Mayele alimaliza msimu wa 2020-21 kama mshindi wa pili kwenye orodha ya wafungaji bora katika ligi ya Kongo inayojulikana kama Linafoot. Young Africans walimsajili Tarehe 1 Agosti mwaka 2021 Kwa mkataba wa miaka miwili.[2]

Fiston Kalala Mayele alikuwa shujaa wa mashabiki wa Kijani na Njano baada ya kufunga bao lake la kwanza katika klabu katika mchezo wa Ngao ya Hisani dhidi ya mahasimu wao wa jadi Simba S.C. mbele ya mashabiki 60,000 waliohudhuria kwenye Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa. Ambalo lilikuwa bao pekee la usiku huo.[3][4]

  1. [Tovuti: Taaluma ya Mchezaji Fiston Kalala Mayele](https://www.footballdatabase.eu/en/player/details/429428-filston-kalala_mayele#playerCareer) - Tovuti: www.footballdatabase.eu[Congo DR - F. Mayele - Wasifu na Habari na Takwimu za Kazi na Historia - Soccerway](https://us.soccerway.com/players/fiston-kalala-mayele/645192/) - Tovuti: us.soccerway.com.
  2. ajiraforum (2022-07-12). "CV ya Fiston Mayele wa Yanga |Fiston mayele salary |Mkataba wa mayele yanga". Ajiraforum -Your Dream Job Destination| Nafasi za kazi zilizotangazwa leo (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-04-01.
  3. Olsson, Andrew (2021-05-25). "Linafoot D1 : Fiston Mayele guide Vita Club vers le titre devant Sanga Balende". Pan-Africa Football (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-04. Iliwekwa mnamo 2023-02-24. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. yavgrace (2021-05-24). "Linafoot D1 : Fiston Mayele guide Vita Club vers le titre devant Sanga Balende". Foot RDC (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2023-02-24.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fiston Mayele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.