Rhino Rangers F.C.
Mandhari
Rhino Rangers Football Club ni klabu ya soka yenye maskani yake mjini Tabora, Tanzania. Hapo awali walicheza katika kiwango cha juu cha mpira wa miguu wa Tanzania,
Ligi Kuu Tanzania. Msimu wa 2015/16 wanashiriki Ligi Daraja la Kwanza Tanzania (ligi kuu Tanzania bara )[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Tanzania - Rhino Rangers FC - Results, fixtures, squad, statistics, photos, videos and news - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.