Biashara United
Mandhari
Biashara United ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Tanzania iliyopo mkoani Mara
Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Karume.
Kwa msimu wa 2021/2022 inashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika kutokana na kumaliza nafasi ya nne msimu wa 2020/2021 kwenye Ligi kuu ya Tanzania Bara.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Biashara United kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |