Mwadui F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwadui F.C. ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Tanzania iliyopo mkoani Shinyanga.

Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Kambarage Nyerere.

Timu hiyo ilipoachwa kudhaminiwa na mgodi imeyumba kabisa.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mwadui F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.