Nenda kwa yaliyomo

Lipuli F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lipuli F.C. ni timu ya mpira wa miguu Yenye makazi yake Iringa, Tanzania.[1]. Ingawa ilikuwa ikicheza Ligi Kuu Tanzania Bara [2], mnamo mwaka 2000 ndipo iliposhuka daraja; kwa sasa ipo ligi daraja la kwanza.

Timu ya Lipuli inamilikiwa na halmashauri ya mji wa Iringa ikiwa na wadhamini wachache wakiwemo Vodacom na benki ya DTB.

Jina lake jingine ni Wanapaluhengo.

Wanatumia Uwanja wa Samora wenye uwezo wa kubeba watu 5,000 kwenye mechi zao za Ligi Kuu Tanzania baada ya kupanda daraja kwenye msimu wa 2017-18.[3]

Huvaa jezi za rangi nyekundu yenye michirizi myeupe. kwa sasa wanavaa jezi nyeupe yenye michirizi ya damu ya mzee.[4]

  1. "Tanzania - Lipuli FC - Results, fixtures, squad, statistics, photos, videos and news - Soccerway". us.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.
  2. Azaniapost. "Lipuli FC signs four new players". azaniapost.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-17. Iliwekwa mnamo 5 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-17. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.
  4. "https://twitter.com/FcLipuli/status/964783100562636801". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-05-14. {{cite web}}: External link in |title= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Lipuli F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.