Vodacom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makao makuu ya Vodacom Ibadan
Sehemu ya kutolea hduma za Vodacom
Vodacom
Makao MakuuMidrand, Afrika Kusini
Net incomeZAR 13,667 million
TovutiVodacom

Vodacom, ni kampuni ya mawasiliano bara Afrika.

Taswira[hariri | hariri chanzo]

Vodacom ilianzishwa mwaka wa 1994 na kudi la Vodafone Plc kutoka Uingereza na Telkom kuroka Afrika Kusini. Kwa sasa, Vodafone linamiliki asilimia sitini na tano (65) za kampuni na usimamizi wa majukumu ya kampuni.[1]

Kampuni ya Vodacom lina wateja milioni hamsini na tano (55) na kampuni tanzu ya Afrika Kusini, Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Msumbiji na Lesotho.

Makampuni tanzu[hariri | hariri chanzo]

Arodha ya kampuni tanzu za Vodacom ni:[2]

Umiliki[hariri | hariri chanzo]

Hisa za kampuni ya Vodacom yameoorodheshwa kwenye soko la hisa la Johannesburg, chini ya alama: VOD.[3] Wamiliku wa kuu ni:[4]

Wamiliki wa hiza za Vodacom
Cheo Jina Asilimia
1 Vodafone Investments SA 65.00
2 Serikali ya Africa Kusini 13.91
3 Wengine 21.09
Total 100.00

Ona pia[hariri | hariri chanzo]

Vidokezo na marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Introduction Page on Vodacoms Website. http://www.vodacom.com/vodacom/about_vodacom/introduction.jsp Archived 19 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
  2. "Vodacom Group 2014 Annual Report". Vodacom Group. March 31, 2014. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-12-31. Iliwekwa mnamo December 31, 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Vodacom article by the Wall Street Journal http://online.wsj.com/article/SB122596655256404705.html?mod=googlenews_wsj
  4. "Vodacom Group 2014 Annual Report". Vodacom Group. March 31, 2014. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-12-31. Iliwekwa mnamo December 31, 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)