African Sports
African Sports Club ni klabu ya mpira wa miguu kutoka jijni Tanga, Tanzania. Walishiriki ligi kuu Tanzania bara mwaka 2015/2016, ambayo ndiyo ligi ya nafasi ya juu nchini Tanzania.[1][2]
Mechi za nyumbani huchezwa katika uwanja wa Mkwakwani.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Tanzania Premier League: Standings - World MatchCentre - FIFA.com. web.archive.org (2013-11-29). Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-11-29. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.
- ↑ Tanzania - African Sports Club - Results, fixtures, squad, statistics, photos, videos and news - Soccerway. int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.