JKT Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

JKT Tanzania ni timu ya mpira wa miguu ya nchini Tanzania inayotumia kifupi cha Jeshi la Kujenga Taifa la Tanzania na iliyopo mkoani Dodoma; mwanzo iliitwa JKT Ruvu.

Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu JKT Tanzania kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.