John Raphael Bocco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Raphael Bocco
Maelezo binafsi
Jina kamiliJohn Raphael Bocco
tarehe ya kuzaliwa5 Agosti 1989 (1989-08-05) (umri 31)
mahali pa kuzaliwaTanzania
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasaSimba S.C.
Youth career
2008–2017Azam F.C.
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
2017Simba S.C.
Timu ya Taifa ya Kandanda
2009Tanzania
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.

† Appearances (Goals).

‡ National team caps and goals correct as of 24 March 2013

John Raphael Bocco (amezaliwa 5 Agosti 1989) ni mchezaji wa kandanda Mtanzania anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Simba S.C. na timu ya taifa ya Tanzania.

Bocco, maarufu kama Adebayor, alianza kucheza soka katika timu ya Kijitonyama FC, mwaka 2007 alijiunga na Azam FC na kuisaidia timu hiyo kupanda daraja. John Bocco ni miongoni mwa wachezaji wanne ambao walifanikiwa kupanda Ligi Kuu ya Vodacom mwaka 2008 wakiwa na Azam FC, mwingine ni Sure Boy.

Kazi katika ngazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Akiwa mzaliwa wa Dar es Salaam, Bocco alianza safari yake ya michezo katika klabu ya Azam F.C., aliitumikia klabu ya Azam kwa takriban miaka kumi.[1]

Mwaka 2017 mwezi Juni alisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Simba S.C.[2].

Kazi katika Timu ya Taifa[hariri | hariri chanzo]

Alifanikiwa kuichezea timu ya taifa kwa mara ya kwanza mwaka 2009,[1] na amekua akicheza mara kwa mara katika michuano ya kufuzu kushiriki fainali za kombe la dunia.[3]

Magoli katika michezo ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Alama na matokeo yanaorodhesha magoli aliyoifungia Tanzania.

.[1]

Magoli Tarehe Uwanja Mpinzani Alama Matokeo Mashindano
1. 8 Novemba 2009 Ali Mohsen Al-Muraisi Stadium, Sana'a, Yemen  Yemen 1–0 1–1 Friendly
2. 8 Desemba 2009 Nyayo National Stadium, Nairobi, Kenya  Eritrea 1–0 4–0 2009 CECAFA Cup
3. 30 Novemba 2010 National Stadium, Dar es Salaam, Tanzania  Somalia 2–0 3–0 2010 CECAFA Cup
4. 25 Novemba 2012 Mandela National Stadium, Kampala, Uganda  Sudan 1–0 2–0 2012 CECAFA Cup
5. 2–0
6. 1 Desemba 2012 Lugogo Stadium, Kampala, Uganda  Somalia 3–0 7–0 2012 CECAFA Cup
7. 4–0
8. 3 Desemba 2012 Lugogo Stadium, Kampala, Uganda  Rwanda 2–0 2–0 2012 CECAFA Cup
9. 18 Mei 2014 National Stadium, Dar es Salaam, Tanzania  Zimbabwe 1–0 1–0 2015 Africa Cup of Nations qualification
10. 1 Jula 2014 Botswana National Stadium, Gaborone, Botswana Kigezo:Country data BOT 2–4 2–4 Friendly
11. 4 Julai 2015 Nakivubo Stadium, Kampala, Uganda  Uganda 1–0 1–1 2016 African Nations Championship qualification
12. 22 Novemba 2015 Addis Ababa Stadium, Addis Ababa, Ethiopia  Somalia 1–0 4–0 2015 CECAFA Cup
13. 4–0
14. 30 Novemba 2015 Addis Ababa Stadium, Addis Ababa, Ethiopia  Ethiopia 1–0 1–1 2015 CECAFA Cup

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 John Raphael Bocco at National-Football-Teams
  2. Ismael Kiyonga (7 June 2017). Former Azam captain Bocco joins Simba. Kawowo Sports. Iliwekwa mnamo 8 March 2018.
  3. Kigezo:FIFA

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania AFCON 2019