JKT Mgambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

JKT Mgambo ni timu ya mpira wa miguu yenye makazi yake Tanga, Tanzania. Wanacheza katika daraja la juu la mpira wa kulipwa Tanzania, Ligi Kuu Tanzania Bara.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu JKT Mgambo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.