Polisi Dodoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dodoma F.C., ilikuwa inafahamika kama Polisi Dodoma, ni klabu ya soka ya Tanzania iliyopo mjini Dodoma . [1] Mechi zao za nyumbani huchezwa katika Uwanja wa Jamhuri wenye uwezo wa kuchukua mashabiki takribani 10,000. Walicheza Ligi Daraja la Kwanza Tanzania msimu wa 2017/18. Pia walicheza Ligi Kuu Tanzania Bara. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "One-year-old Gwambina FC earn Mainland Premier League promotion | Goal.com". www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2022-05-02. 
  2. "Clatous Chota Chama on target in Tanzania". ZamFoot (kwa en-US). 2022-03-08. Iliwekwa mnamo 2022-05-02. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Polisi Dodoma kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.