Uwanja wa michezo wa Jamhuri (Dodoma)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Jamhuri ni uwanja wa michezo uliopo katika mkoa wa Dodoma, makao makuu ya nchi ya Tanzania. Ni uwanja unaotumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 30,000. Pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya JKT Ruvu Stars.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Jamhuri (Dodoma) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.