Ruvu Shooting
Mandhari
Ruvu Shooting ni klabu ya soka iliyoko nchini Tanzania katika jiji la Dar es Salaam. Timu hiyo inacheza katika Ligi Kuu Tanzania Bara. Iliwahi kushinda ligi hiyo mara moja tarehe 6 Agosti 1981 chini ya kocha Rafael Bahati Matole.
Ilishiriki kombe la Kagame 2007 lakini ilipinduliwa kwenye makundi na timu ya Afc Leopard ya Kenya.
Wanacheza katika Uwanja wa Uhuru ambao una uwezo wa kuweka mashabiki au watu 25,000.
Wao hasa wanavaa jezi zenye rangi ya buluu na rangi ya njano.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Ruvu Shooting kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |