Nenda kwa yaliyomo

Ligi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ligi (kutoka Kiingereza: league) ni mkusanyiko wa timu za mchezo maalumu ambazo zinapambana katika daraja fulani ili kumpata bingwa kwa kutegemea wingi wa pointi, magoli n.k.

Siku hizi ni maarufu sana ligi za mpira wa miguu za baadhi ya nchi, kama vile Uingereza.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Ligi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.