Nenda kwa yaliyomo

Young Africans S.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Yanga)
Young Africans S.C.
Jina la utaniYanga (Swahili)
Imeanzishwa11 Feb 1935
UwanjaBenjamin Mkapa National Stadium
(Uwezo: 60,000)
KochaPedro Gonçalves
LigiLigi Kuu
Tovutitovuti ya klabu

Young Africans S.C. (maarufu kama Yanga, jina kamili ni Young Africans Sports Club) ni timu ya soka ya nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935, inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Jina la utani Timu ya Wananchi au Wanajangwani.

Imepata kuwa mabingwa mara 30 nchini na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.[1]

Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, takribani mara tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu.[2]

Wachezaji

Kikosi Cha Sasa

As of As of 16 April 2025

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
1 Tanzania GK Khomeny Abubakary
39 Mali GK Djigui Diarra
2 Tanzania MF Aziz Andabwile
23 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DF Shedrak Boka
3 Tanzania DF Bakari Mwamnyeto (captain)
4 Tanzania DF Ibrahim Hamad
5 Tanzania DF Dickson Job (vice-captain)
60 Tanzania DF Israel Mwenda
30 Tanzania DF Nickson Kibabage
27 Tanzania MF Mudathir Yahya
7 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MF Maxi Nzengeli
Tanzania DF Abubakar Ninju
Tanzania DF Mohamed Husseini
8 Mali MF Lassine Kouma
Ghana DF Frank Assinki
Na. Nafasi Mchezaji
9 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo FW Andey Boyeli
38 Kenya MF Duke Abuya
31 Tanzania FW Offen Chikola
40 Tanzania FW Denis Nkane
22 Tanzania MF Sheikhan Ibrahim
24 Tanzania FW Clement Mzize
29 Zimbabwe FW Prince Dube
12 Tanzania FW Faridi Mussa
15 Tanzania DF Kibwana Shomari
16 Tanzania GK Abuutwalib Mshery
6 Gine MF Balla Conte
11 Côte d'Ivoire FW Celectin Ecua
19 Côte d'Ivoire MF Mohamed Doumbia
36 Tanzania MF Edmund John
Tanzania MF Abdulnassir Casemiro
18 Tanzania MF Salum Abubakar

Wachezaji wa kigeni

Ligi Kuu ya Tanzania inaruhusu wachezaji wa nje kumi na mbili(12). Yanga kwa sasa wanatumia wachezaji wa kigeni wafuatao:

Heshima

Ndani ya Nchi

Ofisi kuu za Young Africans zilizoko barabara ya Twiga, Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania Mashariki
  • Ligi Kuu Tanzania[3]
  • Kombe la FA Tanzania[4]
    • Mabingwa (3): 1975, 1994, 1999
    • Makombe (1): 2001
  • Kombe la FAT[5]
    • Mabingwa (3): 2015–16, 2021/22, 2022/23
    • Makombe (2): 1996, 2021
  • Kombe la Tusker[4]
    • Mabingwa (7):1986,1992,1987,2000,2005,2007, 2009
    • Makombe (3): 2001, 2002, 2005.
  • Kombe la Mapinduzi[4]
    • Mabingwa (3): 2003,2004, 2021
    • Makombe (1): 2011
  • Ngao ya Jamii[4]
    • Mabingwa (7): 2001, 2010, 2013, 2014, 2015, 2021,2022
    • Makombe (7): 2002, 2005,2013,2009, 2011, 2016, 2017

Bara

Kombe la CECAFA[6]

  • Mabingwa (5): 1975, 1993, 1999, 2011, 2012
  • Makombe (3): 1976, 1986, 1990

Kombe la Shirikisho la CAF

  • Makombe (1): 2023

Ufundi katika Mashindano ya CAF

1997 – Raundi ya Awali
1998 – Hatua ya Makundi (Nane Bora)
2001 – Raundi ya Pili
2006 – Raundi ya Awali
2007 – Raundi ya Pili
2009 – Raundi ya Kwanza
2010 – Raundi ya Awali
2012 – Raundi ya Awali
2014 – Raundi ya Kwanza
2016 – Raundi ya Pili
2017 – Raundi ya Kwanza
2022 – Raundi ya Kwanza
2023 – Robo fainali
1969 – Robo-fainali
1970 – Robo-fainali
1971 – Kujitoa katika Raundi ya Pili
1972 – Raundi ya Kwanza
1973 – Raundi ya Kwanza
1975 – Raundi ya Pili
1982 – Raundi ya Pili
1984 – Raundi ya Kwanza
1988 – Raundi ya Kwanza
1992 – Raundi ya Kwanza
1996 – Raundi ya Awali
  • Kombe la Shirikisho la CAF: Onyesho 6
2007 – Raundi ya Kati
2008 – Raundi ya Kwanza
2011 – Raundi ya Awali
2016 – Hatua ya Makundi (Nane Bora)
2018 – Hatua ya Makundi (16 Bora)
2022–23 – Mshindi wa Pili
1994 – Raundi ya Kwanza
1999 – Raundi ya Kwanza
  • Kombe la Washindi wa Mataji la CAF: Onyesho 2
1995 – Robo-fainali
2000 – Raundi ya Kwanza

Nembo

Nembo ya zamani

Tanbihi

  1. "Young Africans live score, schedule and results - Football - SofaScore". www.sofascore.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.
  2. "Young Africans News | Goal.com". www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.
  3. "Tanzania – List of Champions". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-01-16. Iliwekwa mnamo 2020-12-31.
  4. 1 2 3 4 "Tanzania – List of Cup Winners". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-31.
  5. "Tanzania – List of Cup Winners". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-31.
  6. "CECAFA Club Championship". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-31.
  7. SportPesa (2025-08-02). "Ligi Kuu ya Tanzania 2024/25: Muhtasari wa Msimu - SportPesa Tanzania" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2025-09-02.

Viungo vya nje