Dodoma F.C.
Dodoma F.C. ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Tanzania iliyopo Mkoa wa Dodoma.
Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Timu hiyo ilianzishwa mwaka 2017 kwa jina la Area C Football Club.
Mwaka 2019 Halmashauri ya Jiji Dodoma ikaanza kuidhamini na mwaka 2020 ikabadili jina rasmi na kuitwa "Dodoma Jiji F.C.". Mwaka 2020 ilifaulu kuingia Ligi Kuu Tanzania Bara.[1].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Dodoma Jiji yaungana na Gwambina Ligi kuu (Swahili). Iliwekwa mnamo 12 July 2020.