Coastal Union S.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Coastal Union ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Tanzania iliyopo mkoani Tanga.

Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Coastal Union S.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.