Nelson Rockefeller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nelson Rockefeller, Kaimu Rais wa Marekani

Nelson Aldrich Rockefeller (8 Julai, 190826 Januari, 1979) alikuwa mwanasiasa wa Marekani. Kuanzia mwaka wa 1959 hadi 1973 alikuwa gavana wa jimbo la New York. Halafu alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Gerald Ford kuanzia mwaka wa 1974 hadi 1977.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nelson Rockefeller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.