Nicolas Anelka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nicolas Anelka

Nicolas Sebastien Anelka (amezaliwa 14 Machi 1979) ni mchezaji wa mpira kutoka nchi ya Ufaransa, ambaye anaisakatia kabumbu timu ya Uingereza ya Chelsea Fc na timu ya taifa ya Ufaransa.