Nenda kwa yaliyomo

Wikipedia:Mwongozo (Fungasha-na-maelezo zaidi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Utangulizi   Kuhariri   Kuanzisha Makala   Muundo   Viungo vya Wikipedia   Kutaja vyanzo   Kurasa za majadiliano   Kumbuka   Kujisajili    

Hitimisho: kupanga makala mpya ya wikipedia

Maandalizi ya lazima kabla ya kuandika:

1. Chungulia kwanza kama makala kuhusu kichwa chako iko tayari (weka jina katika dirisha la "tafuta" ukigonga "Tafuta")
2. Soma makala nyingine zinazogusa kichwa chako na ujue lugha na majina yanatumiwa namna gani
Hivyo ndivyo inavyoonekana kama makala Hivyo unavyoandika kwenye dirisha la uhariri Habari zaidi
1. Anza kwa utangulizi mfupi.


Gibraltar ni eneo la ng'ambo la Uingereza...
(Jina la makala latakiwa kuonekana kwa herufi koza linapotokea mara ya kwanza)
'''Gibraltar''' ni eno la ng'ambo la Uingereza...
2. Panga maandishi marefu kwa vichwa vya ndani

Historia

== Historia ==
3. Rejea kwa makala zilizopo tayari kwa njia ya viungo: Mwaka 1713 Hispania ilikubali kwa nafasi ya amani ya Utrecht kuwa rasi itakuwa chini ya mamlaka ya Uingereza. Mwaka [[1713]] [[Hispania]] ilikubali kwa nafasi ya [[amani ya Utrecht]] kuwa rasi itakuwa chini ya mamlaka ya [[Uingereza]].
4. Usinakili maandishi ya wengine, fuata Msimamo wa kutopendelea upande#Msimamo wa kutopendelea upande|Msimamo wa kutopendelea upande na taja vyanzo vya habari.