Kristanna Loken
Kristanna Loken | |
---|---|
Amezaliwa | Kristanna Sommer Loken |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1994 - hadi leo |
Tovuti rasmi |
Kristanna Sommer Loken au Kristanna Sommer Løken (amezaliwa tar. 8 Oktoba,1979) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia-mwanamitindo wa zamani wa Kimarekani. Huenda akawa anafahamika kama T-X (adui mkuu) kutoka katika filamu ya Terminator 3: Rise of the Machines aliyocheza na nyota Arnold Schwarzenegger, na vilevile Rayne kutoka katika filamu ya BloodRayne aliyocheza nyota Michael Madsen.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Loken alizaliwa mjini Ghent, New York, ni binti wa Rande, ambaye ni mwanamitindo, na Merlin "Chris" Loken, mtunzi wa hadithi na mlimaji wa matunda ya tufaa. Asili ya ukoo wa Loken walikuwa wazawa wa Norway na baadaye kuhamia Marekani. Vilevile Loken anaasili ya Ujerumani. Alikulia katika maisha ya pamoja na wazazi wake wote, na wazazi wake walikuwa wakulima wa matunda. Pia ana dada yake aitwae Tanya.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- http://www.filmreference.com/film/74/Kristanna-Loken.html
- https://web.archive.org/web/20080318235221/http://www.accessmylibrary.com/coms2/summary_0286-15274252_ITM
- http://www.terminatorfiles.com/news/2003/2003-03-26-a.htm
- http://www.scifi.com/sfw/interviews/sfw12412.html Archived 17 Juni 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.mirror.co.uk/archive/2003/10/13/pink-s-lips-stick-89520-13508002/ Archived 5 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- http://www.imdb.com/name/nm0518085/
- http://www.soapcentral.com/atwt/whoswho/danielle.php
- http://www.curvemag.com/Detailed/703.html Archived 6 Mei 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.thesun.co.uk/article/0,,5-2003511726,00.html Archived 2 Machi 2007 at the Wayback Machine.
- http://www.advocate.com/exclusive_detail_ektid39431.asp
Filamu alizoigiza
[hariri | hariri chanzo]- Mortal Kombat Conquest (1998) (kama Taja)
- Terminator 3: Rise of the Machines (2003) kama T-X
- Ring of the Nibelungs (2004) kama Brunhild
- BloodRayne (2006) kama Rayne
- The L Word (2007) kama Paige Sobel
- Painkiller Jane (2007) kama Jane Vkamaco / Painkiller Jane
- In the Name of the King (2008) kama Elora
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- KristannaLoken.net (Official website) (requires Flash)
- Kristanna Loken katika MySpace
(Official)
- Kristanna Loken kwenye Internet Movie Database
- Kristana Loken Comes Out
- Kristanna Loken katika Movies.com
Mahojiano
[hariri | hariri chanzo]- Manila Standard Today interview (27 Januari 2006)
- Curve interview Archived 6 Mei 2006 at the Wayback Machine. (Januari 2006)
- JoBlo.com interview (29 Desemba 2005)