T-X
Mandhari
| T-X | |
|---|---|
The T-X, imechezwa na Kristanna Loken | |
| Mwonekano wa kwanza | Terminator 3: Rise of the Machines |
| Imebuniwa na | Jonathan Mostow |
| Imechezwa na | Kristanna Loken, washiki wengine, vionjo maalum |
| Maelezo | |
| Spishi | Android |
| Mtaalam wa | Kuua |
| Mtengenezaji | Skynet |
T-X (kifupi cha "Terminatrix") ni jina la mwanamke roboti mwuaji wa. Huyu ni ndiye adui mkubwa kabisa katika filamu ya Terminator 3: Rise of the Machines. Uhusika huu ulichezwa na Kristanna Loken. T-X ana uwezo wa kuchukua mwonekano wa wahusika wengine; kwa hiyo, wahusika wengine walioenekana mara kadhaa kwenye filamu kwa kufuatia mwonekano mwingine wa T-X. Uwezo wa kubadili umbo lake ni sawa tu na la T-1000, adui mkubwa katika filamu ya Terminator 2: Judgment Day.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- T-X kwenye Internet Movie Database
