Nenda kwa yaliyomo

Moon Bloodgood

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moon Bloodgood

Bloodgood kwenye seti ya Terminator Salvation
Amezaliwa Korinna Moon Bloodgood
20 Septemba 1975 (1975-09-20) (umri 48)
Anaheim, California, US
Kazi yake Mwigizaji/Mwanamitindo
Miaka ya kazi 1997–hadi leo

Moon Bloodgood (alizaliwa mnamo 20 Septemba 1975)[1] ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Amecheza kama "Lt. Blair Williams" kwenye filamu ya Warner Bros., Terminator Salvation akiwa pamoja na Christian Bale kwa mwongozaji McG. Bloodgood awali alicheza katika filamu ya Eight Below kwa Disney na Pathfinder kwa ajili ya 20th Century Fox.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filamu Aliigiza kama Maelezo
2004 Win a Date with Tad Hamilton!
2005 A Lot Like Love Bridget
2006 Moonlight Serenade Marie Devrenier
2006 Eight Below Katie
2007 Pathfinder Starfire
2008 What Just Happened Laura
2009 Street Fighter: The Legend of Chun-Li Maya Sunee
2009 Terminator Salvation Lt. Blair Williams
2010 Faster Marina Humpheries
2010 Bedrooms Beth
2011 Beautiful Boy Trish
2011 Conception Nikki
2012 The Sessions Vera Filamu hii ilishinda tuzo la Sundance Film Festival's Special Jury Prize for Ensemble Acting
2012 The Power of Few Mala

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "To Die For". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-12-14. Iliwekwa mnamo 2006-12-14.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moon Bloodgood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.